Ligi Kuu ya Vodacoma Tanzania bara raundi ya 18 inatarajiwa kuendelea jumapili hii kwa kuchezwa kwa michezo saba.
JKT Ruvu Vs Young Africans
Mbeya City Vs Tanzania Prisons
Ndanda FC Vs Mtibwa Sugar
Kagera Sugar Vs Simba SC
Azam FC Vs Mwadui FC
Majimaji Vs Mgambo
Toto
Africans Vs Coastal Union
No comments