KUKANUSHA UPOTOSHAJI DHIDI YANGU ~ FREDRICK MWAKALEBELA
Kumekuwa na upotoshaji wa taarifa zinazosambaa juu ya David Mwakalebela, baadhi ya vyombo vya habari yaani magazeti na mitandao ya kijamii vimekuwa vikielekeza tuhuma hizo dhidi yangu kwa makusudi au kwa kutokujua jambo ambalo ni Hatari kwa Mimi binafsi, familia na marafiki kwa ujumla.
Aidha napenda umma wa watanzania utambue kuwa Mimi ni Fredrick Wilfred Mwakalebela na mtuhumiwa ni David John Mwakalebela ambaye amewahi kuwa mchezaji wa Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania wakati Mimi fredrick Wilfred Mwakalebela nilikuwa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Mkuu wa Wilaya ya Wanging'ombe.
Aidha napenda kuwapa pole wanafamilia yangu, ndugu, jamaa na marafiki kwa usumbufu wote uliojitokza kwao kutokana na sintofahamu hii na kusababisha kadhia dhidi yako.
Mimi Fredrick Wilfred Mwakalebela

No comments