NIYONZIMA AANZA MAZOEZI YANGA
Wiki kadhaa baada ya kutimuliwa katika kikosi cha Yanga kiungo wa kimataifa wa Rwanda Haruna Niyonzima leo ametinga rasmi katika mazoezi ya klabu hiyo katika uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam.
Niyonzima alitemwa na Yanga wiki kadhaa zilizopita kwa madai ya utovu wa nidhamu lakini mapema wiki hii Aliomba radhi na kurudishwa kundini na leo ilikuwa ndiyo siku yake ya kwanza kuanza mazoezi na wachezaji wenzake
Yanga inajiandaa na mchezo wa kombe la Shirikisho nchini Tanzania na itacheza Jumapili dhidi ya Friends Rangers katika dimba la Taifa jijini Dar es Salaam na pengine huo unaweza kuwa mchezo wa kwanza kwa Haruna Niyonzima.

No comments