MATOKEO YA JANA NA RATIBA YA LEO YA KOMBE LA SHIRIKISHO
Mzunguko wa tatu wa michuano wa Kombe la Shirikisho (Azam Sports
Federation Cup) unatarajiwa kuendelea leo hii kwa michezo 4 kuchezwa katika viwanja mbalimbali nchini.
Tumekuekea Ratiba yote ya leo
Mtibwa Sugar Vs Abajalo FC
Lipuli Vs JKT Ruvu
African Sports Vs Coastal Union
Geita Gold Vs Mgambo JKT
Na haya ni matokeo yote ya jana
African Lyon 0-4 Azam FC
Kagera Sugar 1-1 Rhino Rangers
Rhino imeshinda kwa penalti 4-2
Panone FC 3-1 Madini
No comments