Mzunguko wa tatu wa michuano wa Kombe la Shirikisho (Azam Sports
Federation Cup) unatarajiwa kuendelea leo hii kwa michezo 3 kuchezwa katika viwanja mbalimbali nchini.
Tumkuekea Ratiba yote ya leo
Kagera Sugar Vs Rhino
Rangers
Panone FC Vs Madini FC
Africa Lyon Vs Azam FC
No comments