LIGI KUU TANZANIA BARA: MZUNGUKO WA PILI KUANZA KESHO

Mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara hatua ya lala salama unatarajiwa kuanza kesho Jumamosi kwa michezo sita, kwa kila timu kusaka pointi tatu muhimu katika mzunguko huu wa pili.

Wagosi wa kaya Coastal Union watakua wenyeji wa Yanga mjini Tanga, Huku Macho ya wengi yakiwa Uwanja wa Taifa wakati Wekundu wa msimbazi Simba sport klabu wao watakua wenyeji wa Afrikan Sport mchezo utakaochezwa kwenye uwanja wa taifa Dar Es Salaam.

Tumekuekea Ratiba yote ya Kesho

Simba Vs African sports
Coastal union Vs Yanga
Jkt Ruvu  Vs Majimaji
Mtibwa Sugar Vs Stand Unite
Mwadui Fc  Vs Toto Afrikans.
Kagera Sugar Vs  Mbeya City.

NOTE: Mechi zote ni saa 4:00 jioni

No comments

Powered by Blogger.