LIGI KUU TANZANIA BARA: YANGA NA MTIBWA VIWANJANI, YANGA KUISHUSHA AZAM LEO..?

Ligi Kuu ya Vodacom mzunguko wa 15 unatarajiwa kuendelea tena leo kwa michezo mitatu kwa kila timu kusaka pointi tatu muhimu katika mzunguko huo.
Mabingwa watetezi Yanga watakuwa uwanja wa taifa wakiwakaribisha majimaji ya songea huku Yanga wakitazamiwa kurudi keleleni baada ya Azam jana kupata ushindi dhidi ya Mgambo na kuwashusha Yanga mpaka nafasi ya pili.
Tumekueka Ratiba Yote ya Leo.

Mwadui FC Vs Kagera Sugar
African Sports Vs Mtibwa Sugar
Young Africans Vs Majimaji FC

NOTE: Mechi zote ni saa 4:30 Jioni

No comments

Powered by Blogger.