LA LIGA: ANGALIA MAGOLI YA MECHI ZA LA LIGA (REAL MADRID NA BARCELONA ZIKITOA VIPIGO VIZITO)
Miamba ya Hispania jana ilishuhudiwa ikizishushia timu pinzani vipigo vizito. Real Madrid iliyocheza mchezo wa pili ikiwa chini ya Zidane iliibuka na ushindi mzito wa goli 5 dhidi ya 1 la Sporting Gijon.
ZIDANE BAO 10 MECHI MBILI REAL MADRID I KIUNGO SPORTING GIJON 5-1
Soma hapa kupata undani wa mechi hii
Barcelona Nao hawakuwa nyuma kwa waliisambaratisha Athletico Bilbao kwa magoli 6 kwa 0 wafungaji wakiwa ni Messi, Neymar na Rakitic waliofunga goli moja kwa kila mmoja huku L Suarez akifunga magoli matatu.
SUAREZ APIGA HAT-TRICK BARCELONA IKIMPONGEZA MESSI KWA BAO 6-0.
Soma hapa kupata undani wa mechi hii
Video za magoli ya mechi za Real Madrid vs Sporting, Barcelona vs Athletico Bilbao na Las Palmas vs Atletic Madrid nimekuwekea hapa chini
Real Madrid 5 - 1 Sporting Gijon
Barcelona 6 - 0 Athletic Bilbao
Las Palmas 0 - 3 Atletico Madrid
![]() |
Ronaldo akishangalia baada ya kufunga goli |

No comments