KOMBE LA FA : ARSENAL, MAN CITY NA SPURS ZA PESA, LIVERPOOL BADO IPOIPO SANA

Mechi za Hatua ya nne ya michuano ya kombe la FA nchini England ziliendelea  leo kwa mechi kadhaa kupigwa katika viwanja mbalimbali nchini humo.




Mabingwa watetezi  Arsenal wakiwa nyumbani waliifunga Burnley  bao 2-1  Magoli ya Chambers na Alexis Sanchez katika mechi ambayo Burnley  walijitahidi  mno kuibana Arsenal

Manchester City wakisafiri mpaka jiji la Birmingham  waliifunga  Aston Villa bao 4-0 shujaa wa mechi hiyo akiwa kila na wa Nigeria Kelechi  Iheanacho aliyefunga bao 3 huku Raheem Sterling  akifunga bao moja

Tottenham Hotspurs wakiwa ugenini  waliifunga Colchester United  bao 4-1

MATOKEO YA MECHI ZOTE ZA JANA KATIKA KOMBE LA FA 


  • Colchester United 1-4 Tottenham Hotspur
  • Arsenal 2-1 Burnley
  • Aston Villa 0-4 Manchester City
  • Bolton Wanderers 1-2 Leeds United
  • Bury 1-3 Hull City
  • Crystal Palace 1-0 Stoke City
  • Nottingham Forest 0-1 Watford
  • Oxford United 0-3 Blackburn Rovers
  • Portsmouth 1-2 AFC Bournemouth
  • Reading 4-0 Walsall
  • Shrewsbury Town 3-2 Sheffield Wednesday
  • West Bromwich Albion 2-2 Peterborough United
  • Liverpool 0-0 West Ham United

No comments

Powered by Blogger.