EPL: ARSENAL HOI NYUMBANI, YAPIGWA NA CHELSEA GOLI 1 (HIGHLIGHTS + PICS)
Wakicheza kwa dakika 72 huku wakiwa pungufu, Klabu ya Arsenal imeeangukia pua ikiwa katika uwanja wake wa nyumbani baada ya kufungwa goli 1 kwa 0 na Chelsea.
Arsenal ilishuhudia mchezaji wake Per Mertesacker akipewa kadi Nyekundu dakika ya 18 baada ya kumchezea ndivyo sivyo mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa aliyekuwa anayenda kufunga.
Diego Costa alifanikiwa kuifungia Chelsea bao pekee dakika ya 23 baada ya kuunganisha mpira uliopigwa na Ivanovic. Kwa mchezo huu Arsenal imefikisha mechi 9 bila kumfunga Chelsea huku hii ikiwa ni mechi ya 6 ambapo Arsenal wameshindwa kufunga hata goli moja.
Katika mchezo mwingine uliyozikutanisha Everton na Swansea ulishuhudia Swansea wakipata pointi tatu baada ya kuibuka na ushindi wa goli 2 kwa 1
Kama hukuona mechi hizo basi wapenda soka blog tumekuwekea hapa pamoja na mechi zote zilizochezwa leo katika ligi kuu Uingereza
Arsenal 0 - 1 Chelsea
Everton 1 - 2 Swansea

No comments