UTAFITI WAONYESHA KUWA ARSENAL ITASHINDA UBINGWA E.P.L
Watafiti katika taasisi ya Euro Club Index ambayo hushughulika na upangaji wa viwango vya soka kkwa klabu barani Ulaya wameibuka na kutoa utafiti wa msimamo wa ligi kuu nchini England mwishoni mwa msimu.
Utafiti aao umelenga katika matokeo ya mechi mbalimbali za timu zinazoshiriki ligi kuu Ya England na kufanya mahesabu yanayotoa mwelekeo wa kila timu.
Katika utafiti huo Arsenal wamepewa nafasi kubwa ya kuchukua ubingwa huku Leicester City wakitabiriwa kushika nafasi ya nne huku namba mbili ikienda kwa Man City, Man United ya 3 Chelsea ya 9 na zitakazoshuka ni Aston Villa,Norwich na Leicestar watashuka daraja.
Jadwali hapo chini linaonyesha msimamo mwishoni mwa msimu.
No comments