MATOKEO YOTE YA MECHI ZA LIGI YA MABINGWA ULAYA JUMANNE
KUNDI A
PSG 2-0 Shaktar Donetsk
Real Madrid 8-0 Malmo
*Real Madtid na PSG wamefuzu.
* Shaktar Donetsk watachea Katika Europa league
Kundi B
PSV Eindhovein 2-1 CSKA Moscow
Wolfsburg 3-2 Man United
* Wolfsburg na PSV Eindhoven wanafuzu
* Man United watacheza Europa League.
KUNDI C
Benfica 1-2 Atletico Madrid
Galatasaray 1-1 FC Astana
* Atletico Madrid na Benfica wamefuzu
* Galatasaray watacheza Europa League
KUNDI D
Man City 4-2 Borussia Moenchenglabach
Sevilla 1-0 Juventus
* Man City na Juventus wamefuzu hatua ya 16 bora.
* Sevilla watacheza Europa league
No comments