MATOKEO YOTE LIGI KUU TANZANIA BARA WEKIEND HII

Ligi kuu ya Soka Tanzania bara iliendelea wikiend hii kwa mechi kadhaa kupigwa kupigwa siku ya Jumamosi na Jumapili na haya ndiyo matokeo ya jumla ya michezo hiyo




Jijini Dar es Salaam Yanga iliifunga Mbeya city bao 3-0 shukrani kwa magoli mawili ya Amiss Tambwe na moja la kiungo Kamusoko

Mjini Shinyanga Simba ilitoshana nguvu na Mwadui FC kwa kwenda sare ya bao 1-1 katika mchezo mwingine uliopigwa katika dimba la Kambarage.

MATOKEO YOTE

Jumamosi

Mwadui 1-1 Simba
Yanga 3-0 Mbeya City
Majimaji 0-2 Prisons
Coastal union 1-1 Stand United
Ndanda 1-3 JKT Ruvu

 Jumapili

Azam FC 2-0 Kagera Sugar
Toto Africans 0-1 African Sports





No comments

Powered by Blogger.