MATOKEO NA WALIOFUZU LIGI YA MABINGWA ULAYA

Mechi 8 za hatua ya mwisho katika makundi ya ligi ya mabingwa barani Ulaua ilikamilika jana kwa timu 16 kujitupa uwanjani na kushuhudiwa magoli 15 yakifungwa.


Yafuatayo ni matokeo na wafungaji wa mechi hizo za jana

KUNDI E
Bayer Leverkusen 1-1 Barcelona
- Lionel Messi (20')
- Chicharito (23')
Roma 0-0 Bate Borisov
* Barcelona na AS Roma zimefuzu 16 bora
* Bayer Leverkusen kucheza Europa League

KUNDI F
Dinamo Zagreb 0-2 Bayern Munich
- Roberto Lewandowski (61',64')
Olympiakos 0-3 Arsenal
- Olivier Giroud (29',49,67'p)
* Bayern Munich na Arsenal zimefuzu 16 bora
* Olympiakos kucheza Europa League

KUNDI G
Chelsea 2-0 FC Porto
- Ivan Marcano (12') OG
- Willian (52')
Dynamo Kyiv 1-0 Maccabi Tel Aviv
-Denis Garmash (16')
* Chelsea na Dyanmo kyiv zimefuzu 16 bora
* FC Porto kucheza Europa League

KUNDI H
Gent 2-1 Zenit St. Petersburg
- Laurent Depoitre (18')
- Artem Dzyuba (65')
- Danijel Milicevic (78')
Valencia 0-2 Lyon
- Cornet (37')
- Lacazette (76')
* Zenit na Gent zimefuzu 16 bora
* Valencia kucheza Europa League

No comments

Powered by Blogger.