LIGI KUU ENGLAND : MAN UNITED YAZIDI KUPOTEA, MAN CITY YARUDI KILELENI
Hali imezidi kuwa mbaya katika kikosi cha Man United baada ya jana kupoteza mechi yake dhidi ya vibonde Bournemouth waliopanda daraja msimu huu

MATOKEO NA WAFUNGAJI WA MECHI ZA JANA
● Norwich City 1-1 Everton
- Lukaku (15')
- Hoolahan (47')
● Crystal Palace 1-0 Southampton
- Yohan Cabaye (38')
● Manchester City 2-1 Swansea
- Wilfried Bony (26')
- Bafetimbi Gomis (77')
- Ikechi Iheanacho (90')
● Sunderland 0-1 Watford
- Idion Ighalo (4')
● West Ham 0-0 Stoke City
● AFC Bournemouth 2-1 Manchester United
- Junior Stanslaus (2')
- Fellain (24')
- joshua King (54')
No comments