HAKUNA KUPUMZIKA ENGLAND MECHI KIBAO KUPIGWA TENA LEO IKIWEMO YA MAN UNITED NA CHELSEA,.

Ligi kuu nchini England inaendelea leo kwa mechinkadhaa kupigwa  katika viwanja tofauti. Mechi kubwa kabisa leo itakua kati ya timu kubwa zinazosuasua katika ligi hiyo yani Man United watakaokua nyumbani kuwakabili Chelsea.




Wakati United ikishika nafasi ya 6 ikiwa na pointi zake 29 na kupoteza mchezo uliopita kwa kufungwa bbao 2-0 dhidi ya  Stoke City Chelsea wao hali yao bado si nzuri kwani wanashika nafasi ya  15 ikiwana pointi 19 huku wakilazimishwa sare yya  bao 2-2 na Watford  katika mechi iliyopita.

Ratiba kamili ya mechi za leo kwa muda wa Afrika Mashariki ni kama ifuatavyo


6:00 PM - Crystal Palace vs Swansea City
6:00 PM - Everton vs Stoke City
6:00 PM - Norwich City vs Aston Villa
6:00 PM - Watford vs Tottenham Hotspur
6:00 PM - West Bromwich Albion vs Newcastle United
8:30 PM - Arsenal vs AFC Bournemouth
8:30 PM - Manchester United vs Chelsea
8:30 PM - West Ham United vs Southampton

No comments

Powered by Blogger.