CAPITAL ONE : MAN CITY, EVERTON NA STOKE ZATANGULIA NUSU FAINALI LEO NI LIVERPOOL AU SOUTHAMPTON
Manchester City, Stoke City na Everton jana zilipata ushindi katika mechi zao za robo fainali kuwania kombe la Ligi nchini England maarufu kama Capital one cup.

Man City wakiwa nyumbani waliifunga Hull City bao 4-1 shukrani kwa magoli ya Wilfried Bony, Ikechi Iheanacho na magoli mawili ya winga Kevin De Bruyne.
Everton wakiwa ugenini waliizamisha Midlesbrough kwa bao 2-0 magoli ya Romelu Lukaku na Gerard Delaufeu
Stoke City ambao wanafundishwa na Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United Mark Hughes waliifunga Sheffield Wednesday magoli ya Ibrahim Affelay na Phil Bardsley.
Mechi moja tu ambayo imebaki leo ni kati ya Liverpool watakaokua ugenini kuwakabili Southampton katika uwanja wa St. Marys

No comments