RATIBA YA SOKA LEO DUNIANI
Wapenda Soka kote duniani leo hii watakuwa wanakodolea macho katika vwanja tofauti ili kushuhudia miamba ya soka ikichuana kuwania pointi tatu muhimu. Huku Afrika Mashariki na Kati michuano ya Chalenji ikifunguliwa leo na Zanzibar Heroes wanafuangua na Burundi. Huko Hispania dunia itasimama kwa dakika tisini wakati ambapo miamba ya nchi hiyo Barcelona na Madrid ikichuana katika derby maalufu kama El classico. Nimekuwekea hapa Ratiba ya mechi zote za leo. Soma ujua timu yako itacheza na nani leo hii
★Cecafa Cup
2:00 PM- Burundi vs Zanzibar
4:00 PM- Ethiopia vs Rwanda
★Confideration Cup Final play off
22:00 PM Orlando Pirates vs Etoile Du Sahel
★Barclays Premier League
3:45 PM - Watford vs Manchester United
6:00 PM - Chelsea vs Norwich City
6:00 PM - Everton vs Aston Villa
6:00 PM - Newcastle United vs Leicester City
6:00 PM - Southampton vs Stoke City
6:00 PM - Swansea City vs AFC Bournemouth
6:00 PM - West Bromwich Albion vs Arsenal
8:30 PM - Manchester City vs Liverpool
★Spanish Primera División
6:00 PM - Real Sociedad vs Sevilla FC
8:15 PM - Real Madrid vs Barcelona
10:30 PM - Espanyol vs Malaga
★German Bundesliga
5:30 PM - Borussia Monchengladbach vs Hannover 96
5:30 PM - Eintracht Frankfurt vs Bayer Leverkusen
5:30 PM - FC Cologne vs Mainz
5:30 PM - VfB Stuttgart vs FC Augsburg
5:30 PM - VfL Wolfsburg vs Werder Bremen
8:30 PM - Schalke 04 vs Bayern Munich
★Italian Serie A
8:00 PM - Bologna vs AS Roma
10:45 PM - Juventus vs AC Milan
★French Ligue 1
7:00 PM - Lorient vs Paris Saint-Germain
10:00 PM - AS Monaco vs Nantes
10:00 PM - Bastia vs GFC Ajaccio
10:00 PM - Guingamp vs Toulouse
10:00 PM - Montpellier vs Stade de Reims
10:00 PM - Troyes vs Lille
Deo must
ReplyDelete