Michezo ya robo fainali ya michuano ya kombe la Cecafa Chalenji Cup itaanza kutimua vumbi leo huko Adis Ababa Ethiopia. Tumekuekea ratiba yote ya leo 2:00 PM - Uganda vs Malawi 4:00PM - Kilimanjaro vs Ethiopia
No comments