GERARD KURUDI LIVERPOOL WIKI IJAYO

Steven Gerrard atarudi katika kikosi cha Liverpool wiki ijayo kwaajili ya kufanya mazoezi wakati huu ambapo Ligi kuu ya Marekan iko katika mapumziko. Mchezaji huyo mwenye miaka 35 allijiunga na LA Galaxy ya marekani kipindi cha kiangazi kwa mkataba wa  miezi 18.



Akiongea katika kituo cha BT Sport wakati wa mechi za jana za ligi ya mabingwa Ulaya Gerard alithibitisha kuwa atarudi Anfield ambapo alikaa na kucheza mpira kwa miaka 17 likini ni kujiweka fit tu na sio usajili kamili .

'Ndiyo wiki ijayo nitarudi Anfield kwa wiki kadhaa na kufanya kazi na Klopp (Kocha Wa Liverpool)" Alisema Gerard.


No comments

Powered by Blogger.