CECAFA LEO ZANZIBAR HEROES NA KILISTARS UWANJANI
Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na
Kati, CECAFA Challenge inatarajiwa kuendelea leo nchini Ethiopia. Ndugu wawili kwa
pamoja wakishuka viwanjani Zanzibar heroes wtakuwa na kibarua kigumu kuwavaa
waganda walotoka kujeruhiwa huku Kilimanjaro Stars ikiwavaa Rwanda ambao
wanaonekana kuimarika na kufanya kuwa moja ya game ngumu leo. Kilimanjaro stars
ikishinda mchezo wa leo itakuwa imejihkikishia kuendelea hatua ya robo fainali.
Ratiba ya leo Cecafa
2:00 PM Uganda vs Zanzibar Heroes
4:00 PM Rwanda vs Kilimanjaro stars
No comments