BARCELONA YAENDELEA VIPIGO, ARSENAL YAFUFUA MATUMAINI

Jumla ya magoli 27 yalifungwa usiku wa jana katika mechi za raundi ya tano za makundi ya ligi ya mabingwa barani Ulaya.


Barcelona wakiwa nyumbani walitoa kipigo cha hatari kwa AS Roma kwa kuifunga bao 6-1. Tayari Barcelona imeshavuka hatua ya makundi kwa kuongoza kundi E na pointi zao 13 Mchuano mkali uko kwa AS Roma na Bayer Leverkusen ambao wote wana pointi 5.

Kundi F limezidi kuonyesha mwanga kwa Arsenal ambao walikua na nafasi finyu lakini jana Arsenal waliibuka na ushindi wa bao 3-0 wakiifunga Dinamo Zagreb wakati huo huo Bayern Munich wakiitandika Olympiakos bao 4-0. Hii imeipa uhai Arsenal ambao mechi ya mwisho watacheza na Olympiakos na wakishinda basi watavuka kuingia 16 bora.

MATOKEO NA WAFUNGAJI MECHI ZOTE ZA JANA LIGI YA MABINGWA ULAYA

KUNDI E
BATE Borisov 1-1 Bayer Leverkusen (FT)
- Mikhail Gordeychuk (2')
- Admir Mehmedi 68')

Barcelona 6-1 AS Roma
-Luis Suarez (15',44')
- Lionel Messi (18', 60')
-  Gerard Pique (56')
- Adriano (77')
- Edin Dzeko (90')

KUNDI F
Arsenal 3-0 Dinamo Zagreb
- Mesuit Ozil (29')
- Alexis Sanchez (33',69')

Bayern Munich 4-0 Olympiakos
- Douglas Costa (8')
-Robert Lewandowski (16')
- Thomas Muller (20')
- Kingsley Coman (69')

FC Porto 0-2 Dynamo Kyiv
- AndriyYarmolenko (36')
- Derlis Gonzalez (64')

Maccabi Tel Aviv 0-1 Chelsea
- Gary Cahill (20')
- Willian (73')
- Oscar (77')
- Kurt Zouma (90')

KUNDI H
Zenit 2-0 Valencia
- Oleg Shatov (15')
- Artem Dzyuba. (74')

Lyon 1-2 Gent
- Jordan Ferri (7')
-Danijel Milicevic (32')
- Kalifa Coulibaly (90')

No comments

Powered by Blogger.