MKWASA ATANGAZA KIKOSI CHA TAIFA STARS KITAKACHOIVAA ALGERIA, WAMO BUSUNGU NA MAGURI
Kikosi cha Taifa stars kimetangazwa
leo na Kocha Mkuu Boniface mkwasa kikosi hiko kitaingia kambini tarehe 1 kwa
ajili ya kujiandaa kumenyana na Algeria kuwania nafasi ya kushiriki kombe la
dunia katika hatua ya mwisho ya mchujo wa kuwania
kupangwa kwenye makundi ya kuwania tiketi ya Kombe la Dunia 2018 Urusi, baada
ya kuitoa Malawi katika hatua ya kwanza.
Akizungumza
na Waandishi wa Habari mchana wa leo katika hoteli ya Serena, Dar es Salaam,
Mkwasa ametaja wachezaji 28 ambao watakwenda kambini Oman Novemba 2, mwaka huu.
Magolikipa
Aishi Manula Said Mohammed. na Ally
Mustapha
Mabeki
Mohammed Hussein, Hassan Isihaka, Hassan
kessy, Juma Abdul, Shomary Kapombe
Mwinyi Haji.Nadir Haroub na Kelvin Yondani, Salim Mbonde
Viungo
Himid Mao, Said Ndemla, Salum
Telela, Frank Domayo, Mudathir Yahya, Jonas Mkude, Salum Abubakar, Frank Domayo
Washambuliaji
John Bocco, Mrisho Ngassa, Mbwana Samatta, Thomas Ulimwengu,Ibrahim Ajib, Farid Mussa.Simon Msuva, Malimi Busungu na Elias maguri
John Bocco, Mrisho Ngassa, Mbwana Samatta, Thomas Ulimwengu,Ibrahim Ajib, Farid Mussa.Simon Msuva, Malimi Busungu na Elias maguri
No comments