LIGI KUU TANZANIA BARA JUMATANO HII: SIMBA NA YANGA VIWANJANI
Ligi Kuu ya Vodacom inatarajiwa
kuendelea kesho kwa michezo sita kuchezwa katika viwanja mbalimbali, ikiwa
inaingia katika raundi ya tisa huku kila timu ikisaka ushindi wa pointi tatu
muhimu.
Mechi zote za kesho.
Simba SC Vs Coastal Union
Ndanda FC vs Stand United.
Mwadui FC Vs Yanga SC
Toto African Vs Mgambo Shooting
Mtibwa Sugar Vs Kagera Sugar
Mbeya City Vs Majimaji
No comments