USAJILI WA WACHEZAJI ULIOKAMILIKA KATIKA SIKU YA MWISHO NCHINI ENGLAND
Leo ilikua siku ya mwisho kukamilisha usajili wa wachezaji katika ligi kuu nchini England ambapo timu mbali mbali zilikua bize kuhakikisha wananasa wachezaji waliowahitaji.
Hii ni orodha ya wachezaji waliobahatika kukamilisha usajili wao kabla ya muda kufungwa saa 2 usiku saa za Bongo.
- Anthony Martial - Monaco kwenda Manchester United (£36m)
- Virgil van Dijk - Celtic kwenda Southampton (£11.5m)
- Ramiro Funes Mori - River Plate kwenda Everton (£9.5m)
- Michail Antonio - Nottingham Forest kwenda West Ham (£7m)
- Glenn Murray - Crystal Palace kwenda Bournemouth (£4m)
- Papy Djilobodji - Nantes kwenda Chelsea (£2.7m)
Nikica Jelavic - Hull City kwenda West Ham (£2m, rising to £3m)
Michael Hector - Reading kwenda Chelsea (undisclosed)
Joleon Lescott - West Brom kwenda Aston Villa (undisclosed)
Obbi Oulare - Club Brugge kwenda Watford (undisclosed)
Adlene Guediora - Crystal Palace kwenda Watford (undisclosed)
Matija Sarkic - Anderlecht kwenda Aston Villa (undisclosed)
Regan Poole - Newport County kwenda Manchester United (undisclosed)
DeAndre Yedlin - Tottenham kwenda Sunderland (season loan)
Victor Ibarbo - Roma kwenda Watford (season loan)
Alex Song - Barcelona kwenda West Ham (season loan)
Victor Moses - Chelsea kwenda West Ham (season loan)
Nathan Dyer - Swansea City kwenda Leicester City (season loan)
Tomas Andrade - River Plate kwenda Bournemouth (season loan)
Joe Bennett - Aston Villa Kwenda Bournemouth (loan until January)
Miguel Layun - Watford kwenda Porto (season loan)
Olivier Kemen - Newcastle kwenda Lyon (undisclosed)
Sam Westley - West Ham kwenda VVV Venlo (season loan)
Dwight Tiendalli - Ameachwa na Swansea City
No comments