MESSI MCHEZAJI BORA ULAYA
Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Argentina na klabu ya Real Barcelona ,Lionel Messi amechaguliwa kuwa mwanasoka bora wa ulayawa kwa mwaka 2015 baada ya kuwashinda Luis Suarez wa Barcelona na Timu ya Taifa ya Uruguay na Cristiano Ronaldo wa Real Madrid na timu ya Taifa ya Ureno
Muargentina huyo alipokea tuzo hiyo mbele ya Rais wa
Uefa Michel Platini
No comments