SIMBA NA AZAM WAPIGA MAZOEZI YA NGUVU UFUKWENI
Camera ya Wapenda Soka leo ilikua katika ufukwe wa Coco Beach ambapo Azam FC na Simba wote walikua wakijifua.
Azam FC wakiwa na kocha wao Steward John Hall walitangulia kufika katika fukwe hizo ambazo zina sehemu kubwa sana ya kufanyia mazoezi
Badae Simba waliwasili wakiongozwa na kocha msaidizi Suleiman Matola na kocha mkuu Kerr
No comments