TUZO ZILIZOTOLEWA NA VODACOM KWA WASHINDI WA LIGI KUU KATIKA PICHA
Tuzo za washindi wa ligi kuu nchini Tanzania zilitolewa jana na tumekuandalia matukio katiia picha
![]() |
| Bab Chicharito kutoka Wapenda Soka Tanzania akiwa na kocha wa Yanga. |
![]() |
| Hizi ndo tuzo zilizotolewa |
![]() |
| Rais wa TFF Jamal Malinzi,Naibu waziri wa michezo Juma Nkamia,Wadhamini na washiriki wengine katika tuzo. |
![]() |
![]() |
| Mwakilishi toka Azam FC washindi wa pili akikabidhiwa hundi |
![]() |
| Wazazi wa mfungaji bora Simon Msuva ambao walimwakilisha Msuva ambaye yuko na timu ya Taifa |
![]() |
| Wawakilishi wa Mbeya City ambao ni washindi wa nne |
![]() |
| Hundi ya Simba ambao ni washindi wa tatu |
![]() |
| Jamal Bayser mwakilishi wa Mtibwa Sugar ambayo imekua timu yenye nidhamu |



















No comments