MAJONZI NA SIMANZI DORTMUND WALIPOMUAGA KLOPP
Mechi ya mwisho katika ligi kuu nchini Ujerumani baina ya wenyew Borussia Dortmund na Wageni Werder Bremen ilikua mahususi kwaajili ya kumwaga kocha wa Dortmund Jurgen Klopp na mlinzi Sebastian Kehl ambao hawatakua na timu hiyo kwa msimu ujao
Klopp aliyejiunga na Dortmund mwaka 2008 ameiwezesha klabu hiyo kushinda Bundesliga mara mbili, kombe la ligi mara 1 na kuifikisha katika fainali ya ligi ya mabingwa barani Ulaya.
Pengine Klopp anaweza kuwa zawadi ya kuondokea kama atashinda mechi ya fainali Ya kombe la ligi Jumamosi ijayo dhidi ya Wolsfburg mjini Berlin.
Dortmund iliibuka na ushindi wa bao 3-2
No comments