HAPATOSHI MECHI ZA MWISHO LIGI KUU NCHINI ENGLAND
Baada ya kushuhudia ligi kuu nchini Spain,Ujerumani na Ufaransa zikikamisha mechi zake siku ya jana sasa leo ni zamu ya ligi kuu nchini England na Italia nazo kumaliza mechi zake
Timu zote 20 katika ligi kuu nchini England zitajitupa uwanjani kuanzia saa 11 kuwania pointi 3 za mwisho ila mtihani mkubwa uko kwa Hull City na Newcastle ambao wanapigania kutoshuka daraja
RATIBA KAMILI YA MECHI ZA LEO
★Barclays Premier League
5:00 PM - Arsenal vs West Bromwich Albion5:00 PM - Aston Villa vs Burnley
5:00 PM - Chelsea vs Sunderland
5:00 PM - Crystal Palace vs Swansea City
5:00 PM - Everton vs Tottenham Hotspur
5:00 PM - Hull City vs Manchester United
5:00 PM - Leicester City vs Queens Park Rangers
5:00 PM - Manchester City vs Southampton
5:00 PM - Newcastle United vs West Ham United
5:00 PM - Stoke City vs Liverpool
★Italian Serie A
1:30 PM - Empoli vs Sampdoria4:00 PM - Cesena vs Cagliari
4:00 PM - Chievo Verona vs Atalanta
4:00 PM - Palermo vs Fiorentina
4:00 PM - Parma vs Hellas Verona
4:00 PM - Udinese vs Sassuolo
9:45 PM - AC Milan vs Torino
No comments