MVUA YAZUIA PAMBANO LA KAGERA NA SIMBA SC

Na: Bab Chicharito (Shinyanga)

Mechi ya Ligi kuu Tanzania bara kati ya Wenyeji Kagera Sugar dhidi ya Simba iliyopangwa kuchezwa jioni ya leo imeahirishwa kutokana na uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga kujaa maji kufatia mvua kubwa inaypendelea kunyesha maeneo mengi ya Nchi.

Taarifa toka shirikisho la miguu nchini Tanzania TFF na bodi ya Ligi zinasema kuwa mechi hiyo sasa itapigwa Siku ya Jumatano tarehe 8 April hivyo kufanya Simba kuendelea kubaki mjini hapa mpaka siku ya Mchezo.

***********************

No comments

Powered by Blogger.