MATOKEO NA WAFUNGAJI - LIGI KUU YA ENGLAND
Na Edo Daniel Chibo
Jumla ya magoli 18 yamefungwa jana mechi 7 zikipigwa katika mfululizo wa ligi kuu nchini England huku Yannick Bolasie akipamba vichwa vya habari alipofunga Hat trick katika ushindi wa Bao 4-1 walioupata Crystal Palace dhidi ya Sunderland.
Jumla ya kadi za njano 30 zilitolewa katika mechi hizo 7 ikiwa ni wastani wa zaidi ya kadi 4 katika kila mchezo huku kadi moja tu nyekundu ikitoka.
HAYA NDIYO MATOKEO NA WAFUNGAJI WOTE WA MAGOLI KATIKA MECHI ZA JANA
SWANSEA 1-1 EVERTON
- Aaron Lennon (41')- Jonjo Shelvey (69') P
SOUTHAMPTON 2-0 HULL CITY
- Jermie Ward Prowse (57') p- Graziano Pelle (82')
SUNDERLAND 1-4 CRYSTAL PALACE
- Glenn Murray (48')- Yannick Bolasie (51',53',62')
- Connor Wickam (90')
TOTTENHAM 0-1 ASTON VILLA
- Christian Benteke (35')WEST BROM 2-3 LEICESTER CITY
- Darren Fletcher (8')- David Nugent (20')
- Craig Gadner (26')
- Robert Huth (81')
- Jamie Vardy (90')
WEST HAM 1-1 STOKE CITY
- Aaron Cresswell (7')- Marko Arnautovic (90')
BURNLEY 0-1 ARSENAL
- Aaron Ramsey (12')++++++++++++++++++++++++++++

No comments