KUELEKEA SIKUKUU YA PASAKA: WAPENDA SOKA WAMESHOW LOVE
Baadhi ya Wadau kutoka familia kubwa ya Wapenda Soka Tanzania Alhamisi walikutana katika mgahawa wa KFC posta jijini Dar es Salaam kuonyesha mapendo kati yao wakati huu tunapoelekea katika sikukuu ya Pasaka.
Pia ilikua fursa kwao kumuaga mdau mwenzao Cataleya Dot Six (Fortue) ambaye anahamia jijini Mwanza kikazi.
Picha za Matukio hizi hapa




















No comments