YANGA GUMZO JIJINI YAJIPIGIA JKT RUVU 3-1



Yanga imezidi kuwa tamu na kuleta raha kwa mashabiki aake baada ya kuiporomosha mizinga ya JKT Ruvu kwa bao 3-1 katika mchezo uliopiga katika dimba la Taifa jijini Dar es Salaam.

Pambano hilo pekee la ligi kuu Tanzania bara limeiwezesha Yanga kupaa kwa pointi baada ya hivi sasa kufikisha ponti 40 katika nafasi ya 1 ikiwa ni pointi 4 zaidi ya Azam wanaokamata nafasi ya pili.

Winga Simon Msuva alifunga mabao mawili huku moja likifungwwa na Danny Mrwanda kukamilisha ushindi wa bao 3-1 na kumfanya Msuva kuongoza list ya wafungaji katika ligi kuuu

No comments

Powered by Blogger.