SIMBA SC VS YANGA SC - LIVE


SIMBA

1. Ivo Mapunda
2. Kessy Ramadhani
3. Mohamed Hussein
4. Juucko Mursheed
5. Hassan Isihaka
6. Abdi Banda
7. Ramdhani Singano
8. Jonas Mkude
9. Ibrahim Ajib
10. Said Ndemla
11. Emmanuel Okwi


AKIBA

Manyika Peter
Nassor Masoud
Joseph Owino
Awadh Juma
Elias Maguri
Danny Sserunkuma
Simon Sserunkuma


YANGA SC

1. Ali Mustafa
2. Mbuyu Twitte
3. Oscar Joshua
4. Kelvin Yondani
5. Nadir Haroub
6. Said Juma
7. Simon Msuva
8. Haruna Niyonzima
9. Hamis Tambwe
10. Mrisho Ngassa
11. Danny Mrwanda


AKIBA

Hussein Javu
Deo Munishi
Pato Ngonyani
Rajab Zahir
Hassan Dilunga
Salim Telela
Kpah Sherman

Pata uhondo wa kila kinachoendelea katika pambano hili hapa

●●●●●●●●●●●●●●

Dakika ya 20
Bado ni bila kwa bila mpira unachezwa kwa wingi katikati ya uwanja

●● Kadi ya njano
Yanga wanapata kadi ya njano Said Juma akimfanyia madhambi Ibrahim Ajib

●●●● Kadi ya njano

Danny Mrwanda na Ramadhan Kessy

●●●●●


DAKIKA YA 28
Simba wanapiga shambulizi kali linaishia mikononi mwa kipa wa Yanga Barthez ambaye ameumia baada ya kudaka mpira na mpira umesama hivi sasa


●●● Mabadiliko

Yanga wanamtoa Dan Mrwanda anaingia Hussein Javu


●●●● Kadi ya njano

Kelvin Yondan na Juuko Murshid wanapewa kadi za njano

●●●●●
DAKIKA YA 39

Yanga wanafanya shambulizi kali na Ivo Mapunda anafanya kazi ya ziada kuzuia goli baada ya kuokoa shuti la Ngasa

●●●● Kadi ya njano

Haruna Niyonzima anapata kadi ya njano baada ya kumchezea vibaya Singano

Abdi Banda naye anapata kadi ya njano


●●●●● Zimeongezwa dakika 5 baada ya dakika 45 kipindi cha kwanza

♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡

TATHIMINI YA MCHEZO

SIMBA 0-0 YANGA - MAPUMZIKO

TATHMINI
Mahuti yaliyolenga goli
Simba 3-3 Yanga

Mashuti yaliyotoka nje ya goli
Simba 3-3 Yanga

Kona
Simba 1-0 Yanga

Faulo
Simba 8-9 Yanga

Offsides
Simba 3-0 Yanga

Kadi za njano
Simba 3-4 Yanga

Kadi Nyekundu
Simba 0-0 Yanga

Umiliki wa mpira (possesion)
Simba 51%-49% Yanga


■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■ KIPINDI CHA PILI KINAANZA ■■■■■■■■■■■■■■■

Yanga ndiyo wanaanza kipindi hiki cha pili na anayeanza mpira ni Mrisho Ngasa

.... Endelea kufatilia

●●● Kadi ya njano
Nadir Haroub wa Yanga anapata kadi ya njano amemfanyia madhambi Abdi Banda

■■■■■■■ GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOL ■■■■■■■■■

Emmanuel Okwi anafunga bao la kwanza akipiga mpira wa mbali akitumia makosa ya kipa wa Yanga

●●●● DAKIKA YA 65

Okwi anaumia na kubebwa katika machela akitoka nje


●●●● DAKIKA YA 70

Okwi amerudi dimbani lakini sasa Ivo Mapunda amepata majeruhi anatibiwa

●●●●●● DAKIKA YA 75

Haruna Niyonzima anapata kadi nyekundu baada ya kupata kadi ya pili ya njano akipiga mpira makusudi baada ya mwamuzi kupiga filimbi


●●●● DAKIKA YA 85

bado Simba wanaoongoza 1-0

●●● DAKIKA YA 89
Ametoka Abdi Banda ameingia Simon Sserunkuma upande wa Simba


●●● DAKIKA YA 90
Zimeongezwa dakika 3

●●●●●●■■■■■■■■■■ MPIRA UMEKWISHA SIMBA 1-0 YANGA ■■■■■■■■■

2 comments:

Powered by Blogger.