NAIZIMIA MAN UNITED - WITSEL
Kiungo wa Ubelgiji anayekipiga katika klabu ya Zenit St. Peterburg ya Russia Axel Witsel amefunguka na kusema amekua anaizimia sana Manchester United.
Witsel mwenye miaka 26 anacheza kama kiungo mkabaji na kuna taarifa kuwa United wanawania kumsajili kiungo huyu baada ya dili la kumsajili Kevin Strootman kuonekana limekwama baada ya klabu ya AS Roma kumbania.
.
Witsel alijunga na Zenit mwaka 2012 akitokea Benfica kwa usajili wa Euro milion 40 amesema pia angependa kucheza katika Ligi kuu ya England na tangu akiwa mdogo amekua akiishabikia Man United.

No comments