MATUKIO YA SOKA WEEKEND KATIKA PICHA

Carzola,Welbeck na Giroud wakishangilia goli alilofunga Welbeck dhidi ya West Brom


Robin Van Perse akishangilia goli alilofunga dhidi ya Hull City

Aguero akijaribu kumfunga kipa wa Soton 

Miralas akishangilia goli dhidi ya Spurs

Diego Costa akimlalamikia mwamuzi katika pambano la Chelsea na Sunderland

Charlie Austin akishangilia bao QPR ikiishinda Leicester City 3-2

Glen Johson akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Liverpool

Mpira ukimshinda kipa wa Palace na kuiandikia Swansea goli mfungaji ni Wilfried Bony

West Ham wakishangilia bao

Penati iliyowazamisha Aston Villa

Benzema akipongezwa kwa kufunga bao la kwanza dhidi ya Malaga
Wachezaji wa Sunderland wakipasha kabla ya pambano lao dhidi ya Chelsea wakiwa wamevalia fulana zenye tangazo linaloitangaza Tanzania "Tembelea Tanzania"

No comments

Powered by Blogger.