BECKHAM NA MWANAE WANUSURIKA KATIKA AJALI YA GARI
David Beckham na mwanae Brooklyn wamesalimika katika ajali ya gari na imeripotiwa hakuna aliyepata majeraha.
Bechkam ambaye ni nahodha wa zamani wa England mwenye miaka 39 hivi sasa alipatwa na maswahibu hayo wakati akitoka kumchukua mwanae Brooklyn mwenye miaka 15 ambaye ni mchezaji wa Arsenal chini ya miaka 16 aliyekua akiitumikia timu yake ya Arsenal chini ya miaka 16 ilikua ikicheza na Brighton U16 katika viwanja vya mazoezi vya Arsenal Hertfordshire jijini London siku ya jumamosi.
Yasemekana chanzo cha ajali ni kugonwa na gari gari aliyokua akiiendesha aina ya Mitsubishi Colt na gari nyingine Audi RS6 ambayo dereva wake aliumia kidogo.
No comments