HUDGSON ATAJA KIKOSI CHA ENGAND: MCHEZAJI MMOJA TU TOKA MAN UNITED
Kocha wa timu ya taifa ya England Roy Hudgson ametangaza kikosi chake leo katika maandalizi ya kuzivaa San Marino na Estonia wiki ijayo.
Hudgson amemwacha Danny Sturadge ambaye yuko majeruhi wakati Jonjo Shervley ameitwa kikosini. Washambuliaji ni watatu ambao ni Rooney,Welbeck na Lambert.
KIKOSI KAMILI
MAKIPA
Fraser Forster (Southampton), Ben Foster (West Bromwich Albion), Joe Hart (Manchester City)
MABEKI
Leighton Baines (Everton), Gary Cahill (Chelsea), Nathaniel Clyne (Southampton), Kieran Gibbs (Arsenal), Phil Jagielka (Everton), John Stones (Everton)
VIUNGO
Fabian Delph (Aston Villa), Jordan Henderson (Liverpool), Adam Lallana (Liverpool), James Milner (Manchester City), Alex Oxlade-Chamberlain (Arsenal), Jonjo Shelvey (Swansea City), Raheem Sterling (Liverpool), Andros Townsend (Tottenham Hotspur), Jack Wilshere (Arsenal)
WASHAMBULIAJI
Rickie Lambert (Liverpool), Wayne Rooney (Manchester United), Daniel Welbeck (Arsenal)
+++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
No comments