IPO SIKU NITAIFUNDISHA MAN UNITED - GUADIOLA
Kocha wa Bayern Munich Pep Guadiola ametanabaisha kuwa ipo siku ataifundisha klabu ya Manchester United.
Guadiola ambaye ni msimu wake wa pili hivi sasa akiwa na Bayern Munich anasema alikataa ofa ya kuifundisha Chelsea pale alipofatwa na tajiri wa klabu hiyo Roman Abromovich. Timu nyingine iliyomfata kutaka kuifundisha ni Manchester City kabla haijamsainisha Manuel Pelegrin
Akaendelea kusema anafikiria siku moja atakuja kuifundisha Manchester United na kitu kikubwa kinachomvutia ni historia ya klabu na ukubwa wa klabu yenyewe.
No comments