CARICK ARUDI UWANJANI, WAANZIA BENCHI NA FALCAO
Kiungo wa Manchester United Michael Carick Leo atarudi dimbani usiku huu wakati timu yake itakapopambana na Wes Brom katika pambano la ligi kuu England.
Baada ya kuwa nje ya uwanja wa miezi 6 leo Carick atarudi japo ataanzia benchi katika pambano ambalo Radamel Falcao pia ataanzia benchi.
No comments