RATIBA YA MECHI ZA LEO KATIKA SOKA


Katika soka leo mechi mbalimbali zitachezwa mida ya usiku. Wakati Spain, Ujerumani, Italia na Ufaransa ligi zao zikiendelea leo, Nchini England kombe la Ligi litakua likiingia hatua ya 3 kwa mechi kadhaa kupigwa.

Mabingwa watetezi wa ligi kuu Ujerumani klabu ya Bayern Munich watakua nyumbani kuwaalika wanaoongoza ligi hiyo klabu ya Paderborn ambayo imepanda daraja.
Real Madridwao watakua nyumbani kuwakaribisha Elche katika ligi kuu ya Spain maafufu kama La Liga.

Arsenal wako nyumbani kuwakaribisha Southampton katika mechi za kombe la ligi (Capital one) Huku Liverpool wakiialika Middlesbrough.

Ratiba kamili ya mechi za leo ninkama ifuatavyo:-



SPAIN - Spanish Primera División
9:00 PM - Real Madrid vs Elche
11:00 PM - Celta Vigo vs Deportivo La Coruña

GERMAN -  Bundesliga
9:00 PM - Bayern Munich vs SC Paderborn 07
9:00 PM - Eintracht Frankfurt vs Mainz
9:00 PM - TSG Hoffenheim vs SC Freiburg
9:00 PM - Werder Bremen vs Schalke 04

Italian Serie A
9:45 PM - Empoli vs AC Milan

French Ligue 1
8:00 PM - Stade de Reims vs Marseille
10:00 PM - Stade Rennes vs Toulouse

ENGLAND - Capital One Cup
9:45 PM - Arsenal vs Southampton
9:45 PM - Cardiff City vs AFC Bournemouth
9:45 PM - Derby County vs Reading
9:45 PM - Leyton Orient vs Sheffield United
9:45 PM - Liverpool vs Middlesbrough
9:45 PM - Milton Keynes Dons vs Bradford City
9:45 PM - Shrewsbury Town vs Norwich City
9:45 PM - Sunderland vs Stoke City
9:45 PM - Swansea City vs Everton
10:00 PM - Fulham vs Doncaster Rovers

NOTE: MUDA NI KWA SAA ZA AFRIKA MASHARIKI

.... Endelea kualika marafiki wako wa like ukurasa wetu katika facebook (wapenda soka - kandanda)


No comments

Powered by Blogger.