KIKOSI KIPYA TAIFA STARS HIKI HAPA
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania kimetangazwa na kocha mkuu Mart Nooij ambapo majina ya wachezaji 26 yataingia kambini ikiwa ni kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Moroko utakaopigwa Septemba 5 huko Moroko.
Majina kamili ya wachezaji hao ambao watatakiwa kuingia kambini Agosti 31 mwaka huu Jijini Dar katika hoteli ya Accomondia ni pamoja na:-
MAKIPA
Deogratias Munishi (Yanga) naþ
Mwadini Ali (Azam).
MABEKI
Said Morad (Azam), Oscar Joshua (Yanga), Shomari Kapombe (Azam), Nadir Haroub (Yanga), Kelvin Yondani (Azam), Aggrey Morris (Azam), Joram Mgeveke (Simba) na Charles Edward (Yanga).
VIUNGO
Erasto Nyoni (Azam), Mwinyi Kazimoto (Al Markhiya, Qatar), Amri Kiemba (Simba), Himid Mao (Azam), Salum Abubakar (Azam), Said Ndemla (Simba), Said Juma (Yanga) na Haruna Chanongo (Simba)
WASHAMBULIAJI
John Bocco (Azam), Khamis Mcha (Azam), Simon Msuva (Yanga), Thomas Ulimwengu (TP Mazembe, DRC), Mbwana Samata (TP Mazembe, DRC), Mrisho Ngassa (Yanga), Mwegane Yeya (Mbeya City) na Juma Liuzio ZESCO, Zambia).
~ By Edo DC
No comments