BALLOTEL NDANI COUTINHO BENCHI WAKATI LIVERPOOL WANAIKABILI SPURS MCHANA HUU

Kocha wa Liverpool Brendan Rodgers amemuanzisha Mario Ballotel katika kikosi kitakachoanza mchana huu ugenini huku kiungo mshambuliaji Felipe coutinho akianzia benchi

vikosi kamili viko hivi pamoja na mifumo yao

TOTTENHAM HOTSPUR:


WANAOANZA
 Lloris; Dier, Kaboul (c), Vertonghen, Rose; Bentaleb, Capoue; Chadli, Eriksen, Lamela; Adebayor.

.. AKIBA: Friedel, Chiriches, Davies, Dembele, Holtby, Townsend, Kane




LIVERPOOL:

WANAOANZA
 Mignolet, Manquillo, Moreno, Lovren, Sakho, Gerrard (c), Allen, Henderson, Sterling, Sturridge, Balotelli...

AKIBA:
Jones, Enrique, Toure, Lambert, Coutinho, Can, Markovic

........
Mechi inaanza saa 9 na nusu


No comments

Powered by Blogger.