LIGI YA MABINGWA ULAYA - HATUA YA 16 BORA
Droo ya mtoano ya hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa Ulaya imefanyika huku matokeo yake yakizua gumzo miongoni mwa wapenda soka.
Droo imeshuhudia baadhi ya timu zikipangiwa timu ngumu na nyingine zikipangwa na timu ngumu kuzisikia katika soka
Droo kamili ilikua hivi
Man City v barcelona
Olympiacos v Man utd
Ac Millan v Atletico Madrid
Bayer Leverkusen v PSG
Galatasaray v Chelsea
Schalke 04 v Real Madrid
Zenit v Borussia Dortmund
Arsenal v Bayern Munich
Waliokua washindi wa makundi wataanzia mechi zao ugenini ambazo zitapigwa Jumanne na Jumatano ya Tarehe 18 na 19 Februari ambapo timu 8 zitashuka dimbani na tarehe 25 na 26 Februari zitashuka dimbani timu zingine 8.
Marudiano ya mechi hizo yatakua baada ya wiki mbili yani tarehe 11/12 na tarehe 18/19 Mwezi Machi

No comments