WAPENDA SOKA WALIPOTOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA

Wapenda Soka wakimsikiliza kwa makini Mmiliki wa Kituo
 
Uongozi wa Kundi la Wapenda Soka wanapenda kuwashukuru wale wote waliofanikisha safari ya kutembelea watoto Yatima Pale Vingunguti Tarehe 01/01/2013
Kwa waliohudhuria Wataungana nami kukubali kama Kuna baadhi ya Vituo vya watoto yatima vimechoka na havina msaada kama kile tulichokitembelea hivyo basi hatuna budi kama Wapenda Soka kuendelea na moyo huo huo
                                                    Bebeng akiwa na Mtoto Yusuph

Wapo wengi walioshiriki kwa namna moja au nyingine lakini shukrani za dhati kwa Wafuatao:

The Gunning Machine ilishine na watoto
 1. Adin Lwekika
 2. Raphael Lighongo
 3. Rodgers Robin Jr
 4. Gordon Ochieng
 5. Cataleya Dot Fortue
 6. Maria Masoa
 7. Bab Chicharito
 8. Allen Kaijage
 9. Kita Msuya
 10. Hafram Mgaya Lujan
 11. Richard Leonce Chardboy
 12. Juma R Mkilindi
 13. Iman Benson
 14. Husamdin Nyakuliga
 15. Mr & Mrs. Peter Mathias
 16. Baraka Mnyone
 17. Kluivert Van Kharim
 18. Richard Mkambala
 19. Najahu Nzelu
 20. David Lyimo
 21. Kindman Charles
 22. Neema Ozil Arteta
 23. Edo Daniel Chibo
 24. Moses Gerald
 25. Mr & Mrs.Frank Mallugu
 26. Evelyne J Soi
 27. Kevin Samuel Mweyo
 28. Alkodaddy E Trapstar
 29. Bebeng Stearling
 30. Boyd Mwatila
 31.Tizo Mohamed


 I hope hajasahaulika mtu hapa ila wote tumetambua michango yenu na zaidi ya yote tunafurahi kwa "quick Response" mliyoionyesha Tangu wazo lilipoletwa kwa mara ya kwanza katika Group.

Mpaka Tumekamilisha zoezi hili zilipatikana 243,000/ Ikiwa ni michango ya Members hapo juu.
Mungu awabariki Sana.
                                         Bebeng,Boyd na Moses wakiwa na mtoto Yusuph
Ilikua Raha sana kucheza na watoto na zaidi ilikua raha kubwa kwani mmoja wa Wapenda Soka Frank Mallugu alikua anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa
Hongera kaka Frank
                                                   Mallugu akimlisha keki Richard Leonce

 Wachambuzi wa Soka katika Blog nao walikuwepo Wakiuliza maswali kwa watoto yanayohusu soka na aliyeshinda alipata zawadi
Tulishangaa kuona watoto wana upeo mkubwa sana katika soka.
                                                    Allen,Edo na Richard
 

10 comments:

  1. Daaaah!!hongereni sana guys kwa kitu mlchokifanya na pia am sorry kwa kushindwa kujumuika na nyinyi cku hyo ila I hope next time tutakua pamoja.

    ReplyDelete
  2. Bila shaka kaka Mchango wako ulimaanisha sna
    One love

    ReplyDelete
  3. Hongeren sana kwa wote mliofanikisha 2kio hili,kwan huu ndio Upendo wa kweli wanaohtaji hawa watoto,nmejifunza kitu kikubwa sana toka kwenu I hope next time wengi 2takua pamoja,Mungu awajaalie mwaka wa upendo,aman,faraja na mafanikio ktk maisha,...Kwa Wapenda Soka wote!

    ReplyDelete
  4. Daaah Thanx Khamis
    daima tuko pamoja

    ReplyDelete
  5. Dah hili ni jambo kubwa sana na la ki-utu. nimependezwa na muitikio. Mbarikiwe. Long live Wapenda soka.

    ReplyDelete
  6. Yap ilikua bonge la kitu aisee
    Tulishow love ya ukweli baadae tukaenda Coco na hatimae jioni soka

    ReplyDelete
  7. Nyie watu mpo juu sana, binafsi inanipa faraja kuona sasa kundi linaweza kwenda kama kundi na si kwa mtu mmoja mmoja, kwa pamoja kundi linasimama na mambo yanendelea, kitu hakika ni kitu ambacho binafsi kinanipa faraja, kitu kinachopelekea kuona mwelekeo wa mbali wa kundi letu, na hii inatupa jeuri ya kuwa jeuri zaidi ya wale viburi wanaojaribu kutaka kuliharibu kundi kwa mambo ya binafsi..! Ila jambo nasikitika tu sikuweza shiriki kwenye mchakato na sababu ya majukumu ya kikazi especialy katika kipindi hiki cha kumaliza na kuanza mwaka majukumu yanakuwa ni mengi sana kwetu sisi, kazi zetu huwa hazinaga cha sikukuu wala weekend zaidi zaidi ni majukumu kuongezeka, ila next time kwa pamoja tutajipanga, naamini huu ni mwanzo wa mzuri kwa future ya kundi, credit kwa wote walioandaa na kushiriki...!

    ReplyDelete
  8. mwenyezi mungu atusimamie tuumalize mwaka salama kama tulivyouanza

    ReplyDelete
  9. wapenda soka ,i find no word fo dis group ila kwa hakika hili ni jambo jema ambalo ni magrup machache sana wanaeza fanya hivi, God is wit us na kwa hakika kupitia soka anazidi kutuweka karibu nae na kufanya yale yaliyo mema kwake na kumpendeza, cha muhimu uvumilivu katika group na hakika tutafika wea we neva even expected, i believe in dis group , i have faith to da wateva ts dealing is.Huu ni mwanzo mzuri kwa group basi tuendelee kwa moyo huu.
    my love to wapenda soka .
    many blesses to wapenda soka.

    ReplyDelete

Powered by Blogger.