AMEANDIKA: Edo Daniel Chibo (WSG)
![]() |
Edo Daniel Chibo |
<<<<<>>>>NILICHOKIONA<<<<>>>>
JUVENTUS VS CHELSEA (matokeo 3-0)
Wakati nakiona kikosi cha Chelsea kinachoanza ktk mechi muhimu na ngumu kama ile nilijua uwezekano wa Chelsea kufungwa uko mkubwa sana na hata Utabiri wangu ulikua 4-1 kabla ya mechi na nadhani yametimia.
...

Kwanini CHELSEA walistahili kufungwa?
Idea ya kutomchezesha mshambuliaji yoyote na kumtumia Juan Mata kama mbadala wa Torres lilikua kosa kubwa kwani Mata hakuweza kucheza kama Mshambuliaji na badala yake akawa anacheza kama Kiungo kitu ambacho kiliwafanya mabeki wa Juventus kufunguka na kupeleka mashambulizi mbele kwani hakuna aliyewasumbua laiti kama kungekua na mshambuliaji wa Chelsea pale mbele ingesaidia kuwahadaa mabeki na kuwapa mwanya wa Utatu (MAZACAR i.e Mata,Hazard na Oscar) kufanya kazi ya kuipangua ngome ya Juve na kumfikia Buffon. Ni bora kocha angemuanzisha hata Dany Sturadge ktk safu ya ushambuliaji.
Kitu kingine Kilichowaumiza Chelsea ni lile jambo ambalo kila siku tumekua tukilisema (Wachezaji kuchoka)
Ukiangalia kwa makini wigo wa wachezaji wa Chelsea ambao wamekua wakicheza msimu huu ktk mashindano yote ni mdogo sana hivyo kuwafanya kuchoka na kushindwa kuhimili mikikimiki ya mechi kubwa kam hii. Mfano ni Petr Cech mlinda mlango huyu amedaka mechi zote tofauti na timu kama Man u na Arsenal na hapo ndo ninapokua na Imani kama Arsenal Itavuka hatua hii hata inayofuata lkn ni ngumu kwa Chelsea.
Juventus walijiandaa kwa mechi hiyo na ndo mana walionekana wako organised tangu mpira unaanza japokua walikosa umakini kwani wangepata magoli zaidi.

GALATASARAY VS MAN UNITED ( matokeo 1-0)
Hii ilikua ni mechi ya kukamilisha ratiba kwa Man United ambayo mpaka jana ilikua haijawahi kufungwa mchezo wowote katika UCL hivyo kukata tiketi ya raundi ya 16 bora.
Kitu cha kuvutia ilikua kuwaona vijana chipukizi wakicheza ktk michuano yenye hadhi kubwa kwa upande wa club Barani Ulaya. Timu yoyote ambayo ingekua imepata nafasi kufuzu wkt zikibaki mechi 2 ingeweza kufanya kama United so kwa Man United ilikua ni kuwapa mazoea Chipukizi wakati Galatasaray ilikua ni mechi ya kifo kwao kwani ushindi huo umewavuta mpaka nafasi ya pili wakilingana na Fc Cluij ambao wameifunga Braga hivyo kufikisha points 7 kwa kila timu.

NI TATHMINI YA NILICHOKIONA KTK MECHI MBILI NILIZOZIANGALIA KWA PAMOJA.
No comments