KIKOSI CHA SINGIDA KINACHOONDOKA LEO KWENDA NAIROBI.

Kocha mpya wa Singida United anaanza majukumu yake mara moja kwa kukiongoza kikosi hicho leo kuelekea nchini Kenya kwa ajili ya michuano ya Sport Pesa Super Cup.

Singida ambao jana walipoteza mchezo wa fainali ya ASFC kwa kufungwa mabao 3-2 na Mtibwa Sugar wanaondoka na wachezaji 20 wakiwemo wachezaji wao wapya Habib Kiyombo, Tiber John, Filipe Dos Santos, na Diaby Amara.

Timu nzima itakayoondoka ni kama ifuatavyo;
MAKIPA
1) Ally Mustafa
2) Peter manyika

WALINZI
3) Shafiq Batambuze
4) Elisha Murouwa
5) Kennedy Juma
6) Salum Kipaga
7) Malik Antir
8) Miraji Adam

VIUNGO
9)  Diaby Amara
10) Yusuf Kagoma
11) Kenny Ally
12) Deus Kaseke
13) Nizar Khalufani
14) Salum Chuku
15) Lubinda Mundia
16) Elinywesia Simbi

WASHAMBULIAJI
17) Danny Lyanga
18) Felipe Dos Santos
19) Tiber John
20)  Habib Kyombo


BENCHI LA UFUNDI
1  Hemed  Morocco
2  Jumanne Charle
3  Mfaume Athuman
4  Musa Kilopa
5  Ibrahim Mohamed
6  Dr Silverster Safi

VIONGOZI
1  Abdul Sima
2  Mohamed Kondo
3  Leonard Carlos

Karata ya kwanza ya Singida United itarushwa Juni 5 kwa kupambana na AFC Leopards ya Kenya

No comments

Powered by Blogger.