23 WA NIGERIA KWENYE KOMBE LA DUNIA HAWA HAPA.

Wawakilishi wa Afrika kwenye michuano ya kombe la dunia itakayoanza mwezi huu huko Urusi, Nigeria jana wametangaza kikosi chao rasmi cha wachezaji 23 watakaoiwakilisha nchi kwenye michuano hiyo.

Kikosi cha Nigeria kipo kama ifuatavyo Magolikipa:  Francis Uzoho (Deportivo La Coruna), Ikechukwu Ezenwa (Enyimba), Daniel Akpeyi (Chippa United).

Walinzi: William Troost-Ekong na Abdullahi Shehu (Bursaspor), Tyronne Ebuehi (Ado Den Haag), Elderson Echiejile (Cercle Brugge KSV), Bryan Idowu (Amkar Perm), Chidozie Awaziem (Nantes FC), Leon Balogun (Brighton), Kenneth Omeruo (Kasimpasa).

Viungo: Mikel John Obi (Tianjin Teda), Ogenyi Onazi (Trabzonspor), Wilfred Ndidi (Leicester City), Oghenekaro Etebo (Las Palmas), John Ogu (Hapoel Be'er Sheva), Joel Obi (Torino, Italy).

Washambuliaji: Ahmed Musa (CSKA Moscow), Kelechi Iheanacho (Leicester City), Victor Moses (Chelsea), Odion Ighalo (Changchun Yatai), Alex Iwobi (Arsenal), Simeon Nwankwo (Crotone).

No comments

Powered by Blogger.