ARGENTINA ISIPOSHINDA KOMBE LA DUNIA MWAKA HUU NASTAAFU ~ MESSI
huyo wa mabao katika ligi kuu ya Spain hajashinda ubingwa wowote katika ngazi ya nchi akiukosa ubingwa wa Dunia katika fainali iliyopita wakati Ujerumani walipoibuka na ushindi wa bao 1-0 katika mchezo wa fainali nchini Brazil.
Messi mwenye miaka 30 hivi sasa amesema ana ndoto ya kushinda ubingwa katika fainali zijazo huko Russia ambapo wamepangwa kundi D pamoja na Iceland,Nigeria na Croatia.
No comments